Je umepata majibu? Nimeamini ya kwamba hawa watoto wa kishua wanapata matatizo pale inapobidi wajichanganye na kina Kayumba. Ikiwa kana kujisaidia haja kubwa ni kikwazo, je akianza kazi huko vijijini, ambapo hamna umeme, maji, usafiri, vyoo (watu wanajisaidia vichakani) n.k itakuwaje? Furaha ya tajiri ni ya muda ikiwa kama amezungukwa na maskini.