Niende 1kwa1 kwenye mada tajwa juu kama wewe unataka kuangalia Channel za ndani 5 bure Kwa walioko dar nendeni na kadi zenu za ving'amuzi kweny osifi za star times Kwa walioko mikoani nendeni ofisi za star times za mkoa.. Nawatakia utekelezaji mwema pesa ngumu Sasa.. Japokua ni usumbufu kidogo ila tujitahidi ndio nchi yeti hii.