Anataka kuangalia local channels bure star times afuate maelekezo chini vyuma vimekaza

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,087
2,000
Niende 1kwa1 kwenye mada tajwa juu kama wewe unataka kuangalia Channel za ndani 5 bure Kwa walioko dar nendeni na kadi zenu za ving'amuzi kweny osifi za star times Kwa walioko mikoani nendeni ofisi za star times za mkoa.. Nawatakia utekelezaji mwema pesa ngumu Sasa.. Japokua ni usumbufu kidogo ila tujitahidi ndio nchi yeti hii.
 
  • Thanks
Reactions: JMF

JMF

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
940
1,000
Umesahau kuwaambiwa pia waende na TSh 55,000/= mkononi kulipia ili ku upgrade ving'amuzi vyao ndipo viwezeshwe hiyo huduma. Hakuna cha bure duniani.
 

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
54,817
2,000
Umesahau kuwaambiwa pia waende na TSh 55,000/= mkononi kulipia ili ku upgrade ving'amuzi vyao ndipo viwezeshwe hiyo huduma. Hakuna cha bure duniani.
Kila kwenye changamoto kuna fursa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom