mkulima gwakikolo
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 1,767
- 2,858
Wadau,
Kuna rafki yangu anadai kuna mwanamke ana umri wa miaka 34,huyu mwanamke ni mfanyabiashara na anajiweza kweli kweli.Alizaliwa peke yake kwa wazazi wake,na wamemwachia nyumba 4 na costa 3 na prado moja.
Huyu mwanamke amemganda rafiki yangu kwamba hataki chochote isipokua uzaowa watoto maana haoni mtu wa kumwondolea upweke kama watoto.Rafiki yangu ana mke na watoto wanne.
Vipi wadau hasa wanaume mnamshauri nini? Mwanaume huyu