Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 98,035 Reaction score 142,950 Aug 23, 2011 #21 Lizzy said: Au kama umemkumbusha ex wake...hapa nadhani utakua umefikia kiwango cha mshkaji. Click to expand... Mshikaji? Mshikaji oyeeeee
Lizzy said: Au kama umemkumbusha ex wake...hapa nadhani utakua umefikia kiwango cha mshkaji. Click to expand... Mshikaji? Mshikaji oyeeeee
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,368 Aug 23, 2011 #22 Na wewe taja la mwingine makusudi,akisema mbona unataja jina lingine na wewe umjibu mbona na wewe unamtaja mwingine
Na wewe taja la mwingine makusudi,akisema mbona unataja jina lingine na wewe umjibu mbona na wewe unamtaja mwingine
Mtalingolo JF-Expert Member Joined Aug 4, 2011 Posts 2,181 Reaction score 410 Aug 23, 2011 #23 Excellent said: Na wewe taja la mwingine makusudi,akisema mbona unataja jina lingine na wewe umjibu mbona na wewe unamtaja mwingine Click to expand... <br /> <br /> hahahaaa hyo itakuwa ukimwaga mboga namwaga ugali, akikupiga ngumi ya SKIO nawewe mpige ya JICHO,
Excellent said: Na wewe taja la mwingine makusudi,akisema mbona unataja jina lingine na wewe umjibu mbona na wewe unamtaja mwingine Click to expand... <br /> <br /> hahahaaa hyo itakuwa ukimwaga mboga namwaga ugali, akikupiga ngumi ya SKIO nawewe mpige ya JICHO,
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Aug 23, 2011 #24 red light
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,483 Aug 23, 2011 #25 Ally wa Kitaa said: Mshikaji? Mshikaji oyeeeee Click to expand... Mshkaji sio mshkaji tena so VIVA MSHKAJI!!
Ally wa Kitaa said: Mshikaji? Mshikaji oyeeeee Click to expand... Mshkaji sio mshkaji tena so VIVA MSHKAJI!!
L Lapton2005 Member Joined Dec 20, 2010 Posts 76 Reaction score 0 Aug 24, 2011 #26 Wa aina hii dawa yao ni ndogo sana ni kuwapiga ktk mtandao wa tigo.
BlackBerry JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 1,839 Reaction score 959 Aug 24, 2011 #27 hakuna kuita jina kama unajijua wewe msanii, just lots of babe, hny, sweetie, lovidavi, laaziz............... wasanii wanajua
hakuna kuita jina kama unajijua wewe msanii, just lots of babe, hny, sweetie, lovidavi, laaziz............... wasanii wanajua
BlackBerry JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 1,839 Reaction score 959 Aug 24, 2011 #28 Lapton2005 said: Wa aina hii dawa yao ni ndogo sana ni kuwapiga ktk mtandao wa tigo. Click to expand... Huko ndio kabisaaaa utasikia mahmood....jina la mpemba wa dukan
Lapton2005 said: Wa aina hii dawa yao ni ndogo sana ni kuwapiga ktk mtandao wa tigo. Click to expand... Huko ndio kabisaaaa utasikia mahmood....jina la mpemba wa dukan
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,153 Reaction score 9,270 Aug 24, 2011 #29 duuuhhhh we unafanya kazi zote ngumu ... yeye anamfikiria mtu mwingine.. anaemfaidisha kuliko wewe .. pole..
duuuhhhh we unafanya kazi zote ngumu ... yeye anamfikiria mtu mwingine.. anaemfaidisha kuliko wewe .. pole..
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,564 Reaction score 109,103 Aug 24, 2011 #30 Mimi wa kwangu anatajaga utamu,.......na kuna Mzaramo mtaani kwangu anaitwa utamu, vipi hapo na mimi nasahidiwa kibaruwa ili niongeze mikito?
Mimi wa kwangu anatajaga utamu,.......na kuna Mzaramo mtaani kwangu anaitwa utamu, vipi hapo na mimi nasahidiwa kibaruwa ili niongeze mikito?