Kwa bahati mbaya sana mama yake hakuwa na picha yake, maana anasema alimuacha akiwa mdogo sana, labda niambatanishe picha ya mama yake. ShukraniWeka picha kuna demu uku morogoro anaitwa semeni ni mnyamwezi sijawahi kumuuliza jina lake la pili pia anaweza kuwa yeye , skin color yake ni maji ya kunde
Ni rahisi kumhukumu hivyo pasipo kujua sababu hasa ilikuwa ni nini, kumbuka si rahisi kwa mama kumwacha mtoto wake.! Tusimhukumu ila tushirikiane kumuunganisha na binti yake 🙏Unamuacha mtoto miaka mingi auna habari naye, bila shaka huyu ni mama wa hovyo
Mzazi unashindwaje kufuatilia maendeleo ya mwanao isitoshe ni mama, namuombea akutane na mwanae lakini sidhani kama mtoto atakua na mapenzi na mama ake.Ni rahisi kumhukumu hivyo pasipo kujua sababu hasa ilikuwa ni nini, kumbuka si rahisi kwa mama kumwacha mtoto wake.! Tusimhukumu ila tushirikiane kumuunganisha na binti yake 🙏
Maisha yana changamoto nyingi sana mkuu,huwezi kujua kuna kitu gani kilijitokeza hadi akapata maamuzi ya kuhama mkoa.Unamuacha mtoto miaka mingi auna habari naye, bila shaka huyu ni mama wa hovyo
Hakuna anayekatazwa kuhama iwe kwa hiari, ugomvi au ugumu wa maisha kama mzazi una wajibu wa kumtembelea mwanao japo mara 1 kwa mwaka ili kujenga uhusiano na mwanao, nimeshuhudia mama aliyekataliwa na mwanae baada ya kupoteana nae kwa miaka 35 naye aliachwa mtoto mdogo anayetambaa. Mama umeweza kumuhifadhi mwanao tumboni miezi 9 ulipo na mwanao yupo unamuachaje mwanao miaka mingiMaisha yana changamoto nyingi sana mkuu,huwezi kujua kuna kitu gani kilijitokeza hadi akapata maamuzi ya kuhama mkoa.
Usihukumu kwa haraka hivyo