Meritta JF-Expert Member Joined Apr 26, 2011 Posts 1,303 Reaction score 295 Oct 31, 2011 #21 jamani dada mrembo huyo hata huwezi kudhania
Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,275 Oct 31, 2011 #22 We Fidel yaani issue ya 2009 unatuletea leo mwone kwanza
Power G JF-Expert Member Joined Apr 20, 2011 Posts 3,884 Reaction score 1,200 Oct 31, 2011 #23 Excellent said: huyu kama kweli katorokea majuu cha msingi afanye kazi kwa bidii ili siku moja aje kumlipa mwajiri wake ili aishi kwa furaha Click to expand... Mbona tunaye huku ughaibuni? Tena tangu afike amekuwa ni mtu wangu wa karibu sana.
Excellent said: huyu kama kweli katorokea majuu cha msingi afanye kazi kwa bidii ili siku moja aje kumlipa mwajiri wake ili aishi kwa furaha Click to expand... Mbona tunaye huku ughaibuni? Tena tangu afike amekuwa ni mtu wangu wa karibu sana.
Mungi JF Gold Member Joined Sep 23, 2010 Posts 16,975 Reaction score 9,580 Oct 31, 2011 #24 Huyo Shuma kama ni babake basi siyo mpare, wachagga wajanja sana!
S Saas JF-Expert Member Joined Aug 21, 2011 Posts 268 Reaction score 76 Oct 31, 2011 #25 ma'swagga said: jamani dada mrembo huyo hata huwezi kudhania Click to expand... Urembo tupa kule watu wanaangalia pesa
ma'swagga said: jamani dada mrembo huyo hata huwezi kudhania Click to expand... Urembo tupa kule watu wanaangalia pesa
S Saas JF-Expert Member Joined Aug 21, 2011 Posts 268 Reaction score 76 Oct 31, 2011 #26 Fidel80 said: tatizo utakuta kaiba hela za mbuzi tu milioni 2 angeiba milioni 200 anajificha Somalia hapo Click to expand... Ahaaa wewe Fidel hela mbuzi wapi mwenzako yuko hukoooooo
Fidel80 said: tatizo utakuta kaiba hela za mbuzi tu milioni 2 angeiba milioni 200 anajificha Somalia hapo Click to expand... Ahaaa wewe Fidel hela mbuzi wapi mwenzako yuko hukoooooo
S Saas JF-Expert Member Joined Aug 21, 2011 Posts 268 Reaction score 76 Oct 31, 2011 #27 Nitoe taarifa wapi wakati mimi niko Bongo halafu mtu mwenyewe mnasema kakimbilia Ulaya, Malaysia au Marekani...pambaffff kweli
Nitoe taarifa wapi wakati mimi niko Bongo halafu mtu mwenyewe mnasema kakimbilia Ulaya, Malaysia au Marekani...pambaffff kweli
Invarbrass JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 504 Reaction score 111 Oct 31, 2011 #28 Nikimuona ntamshauri ajifiche zaidi. Hivi bank ya posta si ndio inasuasua?na mashirika yanayosuasua yanatakiwa yabinafsishwe? Safi lily tumia huo mtaji ukirudi ukakuta posta washafilisika ndo watajua ulikuwa uliona mbali
Nikimuona ntamshauri ajifiche zaidi. Hivi bank ya posta si ndio inasuasua?na mashirika yanayosuasua yanatakiwa yabinafsishwe? Safi lily tumia huo mtaji ukirudi ukakuta posta washafilisika ndo watajua ulikuwa uliona mbali
JICHO LA 3 JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 356 Reaction score 62 Oct 31, 2011 #29 Fidel80 said: tatizo utakuta kaiba hela za mbuzi tu milioni 2 angeiba milioni 200 anajificha Somalia hapo Click to expand... sasa mnamtafutia nn....kama mnaona hela yenyewe ya mbuzi muongo wewe ingekua kweli milioni mbili hata msingehakaika kumtafuta huyo kawakwapua kweli ndo mana mmetoa hadi matangazo
Fidel80 said: tatizo utakuta kaiba hela za mbuzi tu milioni 2 angeiba milioni 200 anajificha Somalia hapo Click to expand... sasa mnamtafutia nn....kama mnaona hela yenyewe ya mbuzi muongo wewe ingekua kweli milioni mbili hata msingehakaika kumtafuta huyo kawakwapua kweli ndo mana mmetoa hadi matangazo