Upo sehemu gani MkuuAnatafutwa mpishi almaarufu wa pilau ya shughuli njoo hapa tutengeze dili.
Niko dar kimara mwisho popote nakuja pilau yangu utaifurahia sanaAnatafutwa mpishi almaarufu wa pilau ya shughuli njoo hapa tutengeze dili.
FulsaAnatafutwa mpishi almaarufu wa pilau ya shughuli njoo hapa tutengeze dili.
Shekilango kinesiUpo sehemu gani Mkuu
Toa location
Hebu toa sampuli,iwe KWA mchele wa Tz tumaShekilango kinesi
Mayai ya kanga yapo? Nataka kama 200Niko dar kimara mwisho popote nakuja pilau yangu utaifurahia sana
FulusanaFulsa
🤔🤔Fulusana
Yapo yai moja sh 1000 yanapatikana kwa sida sana kwaajili ya mvuaMayai ya kanga yapo? Nataka kama 200
Mimi pilau natumia viungoHebu toa sampuli,iwe KWA mchele wa Tz tuma
Moja bukuYapo yai moja sh 1000 yanapatikana kwa sida sana kwaajili ya mvua
mpaka nyama akapika kilo mojaBongo wapigaji
Kaa makini mnaweza kula wali mweupe😂
😂😂😂😂😂Mnafanya siku iishe poa sasampaka nyama akapika kilo moja