Anatafutwa mpishi wa pilau ya shughuli

Hebu toa sampuli,iwe KWA mchele wa Tz tuma
Mimi pilau natumia viungo

1.kitunguu
2.nyanya
3.hoho
4.carots
5.njegere
6.ginger/thom
7.nyama
8.pilau masala ya kenya/pilau mix (hivi huwa navitumia vyote kwa pamoja inategemea chakula ni cha watu wangapi
9.hela ikiruhusu na tui la nazi huwa linahusika

Mimi kupika siangalii fedha bali nakuza ujuzi wangu kwaajili yakutafuta connection za sherehe mbalimbali..
10..nna ofisi ya mapishi hapo shekilango nyuma ya kituo cha police mkabala na bar ya hanscana
 
Hivi zile picha za kirumi huku mtaani kwetu zinaitwa pilau..
Isije kua.......
Subr kwanza nigeuze baiskeli alaf ntarudi
 
Bila kitunguu swaumu,hiliki unapikaje pilau nimemuambia ya shughuli ile unakuja na ndizi mvivu kula shughuli I ,sahihisha hapo,likipikwa shaba mpaka mtaa wa tatu wanaipata fresh siyo pilau la kizungu mango mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom