Sasa mkuu, kwanini usiweke kila kitu hapa? Kuna agenda gani huko chemba (inbox)?
Mkuu, hivi Uhasibu wa siku hizi ni kuongea Kiarabu au ni kuandika ki-IFRS?!Habari wana jf; anatafutwa mhasibu mwenye uzoefu na anayeweza kuongea kiarabu vizuri.
Kwa maelezo zaidi awasiliane na mimi kwa inbox.
Heee???????? Namtafuta huyo, kama unajua ID yake au kama yeye atanisoma basi ani-pm haraka!mmh kuna kijana humuhumu kweny hili jukwaa ana cpa,masters ya uhasibu hana ajira labda mu pm!