Anatafutwa mhasibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anatafutwa mhasibu

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by KasomaJr, Aug 7, 2012.

 1. KasomaJr

  KasomaJr JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Habari wana jf; anatafutwa mhasibu mwenye uzoefu na anayeweza kuongea kiarabu vizuri.
  Kwa maelezo zaidi awasiliane na mimi kwa inbox.
   
 2. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  mmh kuna kijana humuhumu kweny hili jukwaa ana cpa,masters ya uhasibu hana ajira labda mu pm!
   
 3. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Sasa mkuu, kwanini usiweke kila kitu hapa? Kuna agenda gani huko chemba (inbox)?
   
 4. KasomaJr

  KasomaJr JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kiongozi unaweza kuwa sahihi, lakini sometime ku disclose personal information kama Phone number na emails sidhani kama ni sahihi unless kwa special need. Hakuna agenda yoyote ya siri hapa, kama mtu ana sifa na anadhani yupo vizuri wala sidhani kama kuna shida yoyote.
   
 5. M

  Mohamedmussa Ng'onye Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwenyE Kiarabu sasa.. Akina maalim najua iyo advantage hamtoichezea .. best of luck kwa yoyote atakae fanikiwa
   
 6. c

  cielo Senior Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kiarabu??
   
 7. C

  CAY JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kiarabu,chali!
   
 8. S

  SJUMAA26 JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 611
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu, hivi Uhasibu wa siku hizi ni kuongea Kiarabu au ni kuandika ki-IFRS?!
   
 9. S

  SJUMAA26 JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 611
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Heee???????? Namtafuta huyo, kama unajua ID yake au kama yeye atanisoma basi ani-pm haraka!
   
 10. maria pia

  maria pia JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 516
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ngoja nikuletee id yake,bt hicho kiarabu,mmmhhh!
   
 11. maria pia

  maria pia JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 516
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mkuu ID yake ni KIKOMELO,km bado hujapata
   
Loading...