Anatafuta wimbo wa Lissu

Mchokoo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
1,188
Reaction score
1,604
Kwa kweli hata mimi sijui jina lake, wala aliyeupiga.
Ingawa hata mimi ninaupenda huenda kuliko yeye. Laki yeye ndiye anahitaji aupakie kwenye simu yake sasa hivi!
Sasa nafanyaje ili nipooze kiu yake?
Kibwagizo chake kinasema; jamani lissu anaingia madarakani ooh,
Halafu hapo kuna kinanda kinaitikia matata sana.
Yaani hadi rahaaaaa.
Yaani wimbo na tukio vimeumana kama meno ya mamba!

Ndiyo hivyo tena naomba mnisaidie linaitwaje lile song.
 
@p
Polisi msitupige mabomu sisi ndio serikali ijayo
 
Msanii anaitwa Mwingira
Wimbo unaitwa
Mchakamchaka

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
 

Attachments

 

Attachments

 

Attachments

 

Attachments

 

Attachments

 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…