Anatafuta mume

Anatafuta mume

Habari zenu wandugu, natumai mko salama.

Naomba kuwasilisha kama nilivyoagizwa nina rafiki yangu kipenzi amechoka kukaa single kwa muda mrefu xo anatafuta mwanaume aliye single pia, mkristo, mstaarabu, muaminifu, umri kuanzia 28 mpk 35 ili wayajenge.

me nakutaka wewe kwanza. naanimi huyo rafiki yako umemzidi urembo.
 
Kuweni makini na tapeli mmoja humu jamiiforum anae jiita The honest Mgona baadae nitaweka namba yake ya simu amewatapeli watu wengi sana


Hiyo sensa ya 'watu wengi' uliifanyia wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom