Anatafuta mume

Anatafuta mume

Mwashelii

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
477
Reaction score
90
Habari zenu wandugu, natumai mko salama.

Naomba kuwasilisha kama nilivyoagizwa nina rafiki yangu kipenzi amechoka kukaa single kwa muda mrefu xo anatafuta mwanaume aliye single pia, mkristo, mstaarabu, muaminifu, umri kuanzia 28 mpk 35 ili wayajenge.
 
namba za simu ukiweka itakua sio mbaya, ntaziwasilisha pia. Asanteni
 
Kwann ww usiweke yake sasa....huyo rafik yk ana umri gan na anafanya shughuli gani
 
yeye hana tecno ya kuingilia jf? Basi ngoja wenye nia waku pm alaf utakuwa unamwambia
 
Habari zenu wandugu, natumai mko salama.
Naomba kuwasilisha kama nilivyoagizwa. Nina rafiki yng kipenzi amechoka kukaa single kwa muda mrefu xo anatafuta mwanaume aliye single pia, mkristo,mstaarabu, muaminifu, umri kuanzia 28 mpk 35 ili wayajenge.

kuna mtu anaitwa menelik nae ameweka tangazo nendeni pm mkayamalize
 
Habari zenu wandugu, natumai mko salama.

Naomba kuwasilisha kama nilivyoagizwa nina rafiki yangu kipenzi amechoka kukaa single kwa muda mrefu xo anatafuta mwanaume aliye single pia, mkristo, mstaarabu, muaminifu, umri kuanzia 28 mpk 35 ili wayajenge.

Tumerudia zile zama za kutumia washenga kuchumbia maana baadhi huwa na kigugumizi kumtamkia msichana ya moyoni mwake.
 
Kuweni makini na tapeli mmoja humu jamiiforum anae jiita The honest Mgona baadae nitaweka namba yake ya simu amewatapeli watu wengi sana
 
sasa si umseme kabla hajaliza wengine!
 
Huyo ni wewe ndiyo unayetafuta hutaki kufunguka tu.
 
Mimi najitokeza kumkubali huyo Rafik yako ila sharti moja ni muhimu;Awe na makalio kama ya Sarah Baartman au Masogange!
 
Habari zenu wandugu, natumai mko salama.

Naomba kuwasilisha kama nilivyoagizwa nina rafiki yangu kipenzi amechoka kukaa single kwa muda mrefu xo anatafuta mwanaume aliye single pia, mkristo, mstaarabu, muaminifu, umri kuanzia 28 mpk 35 ili wayajenge.
amepata!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom