Tape measure
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,988
- 3,688
kwanza wewe wa kiume au wakike.Habarini wana jukwaa, Natumai mko poa.
Bila kupoteza muda niende kwenye ujumbe tajwa hapo juu.
Kuna Dada ambaye ni rafiki yangu wa karibu kwa kipindi kirefu sasa tumekua kama ndugu. Tumekua tukishea mambo mbalimbali ya maisha na ivi karibuni aliweza kuniambia yanayomsibu baada ya kuongea naye na kumwambia amsalimie shemeji yangu.
Ni stori ndefu sana sipend kuwachosha. Kwa ufupi yeye ni mwalimu wa primary, umri 29. Anaishi mkoani Kilimanjaro.
Hachagui kabila wala dini . Hayupo jf kwa mwanaume yeyote aliyeko serious ani PM Nimpe no yake. Naomba kuwasilisha.
Hadimu=adimuaisee! Kweli nmeamini wanaume ni jinsia hadimu..
Ona sasa anavyopata tabu kutupata sisi..
Mwambie mimi ni single hivyo afanye kunitafuta mapema kabla sijapata mwenza
kama wewe ni Me, alafu mmekaa kwa muda mrefu na huyo demu mpaka mkashibana, kisha anakuja anakwambia hayo maneno, huyo mume ndo wewe, anashindwa kukwambia moja kwa moja. period.
teh teh tehOuky...ningeku-PM sema simu yangu inagoma!!
Hapana mkuu mim nina mke anatambua. Hawez ata kuwaza iwe ivokama wewe ni Me, alafu mmekaa kwa muda mrefu na huyo demu mpaka mkashibana, kisha anakuja anakwambia hayo maneno, huyo mume ndo wewe, anashindwa kukwambia moja kwa moja. period.
Hahahahahhhh akinicheki yeye sina Nouma mkuu!! Fursa kama hizi ndo nzuri!!teh teh teh
mkuu hutaki kuchangamkia fursa hio.
wewe ndo umemuharibu, kama una mke umekuwaje na ukaribu na dada wa watu kiasi hicho mpaka amekosa muda wa kupita huko na huko ili aonekane. by the way kama wewe ni Islam kama mimi jiongeze hapo.Hapana mkuu mim nina mke anatambua. Hawez ata kuwaza iwe ivo
Mahusiano yana mambo mengi mkuu. Waweza jiuliza mwanaume au mwanamke anaetafuta Mme/Mke jf huko aliko hawapo? Mtaan, vijijin, kote alikopitia amekosa? Ukweli ni kuwa mme/ mke unaweza mpata kokote. Na hakuna sehemu sahihi ya kumpata mwenza wakoaisee! Kweli nmeamini wanaume ni jinsia adimu..
Ona sasa anavyopata tabu kutupata sisi..
Mwambie mimi ni single hivyo afanye kunitafuta mapema kabla sijapata mwenza
Hapana mkuu. Tunaishi mikoa tofaut kwanza Nina zaid ya mwaka sijamuonawewe ndo umemuharibu, kama una mke umekuwaje na ukaribu na dada wa watu kiasi hicho mpaka amekosa muda wa kupita huko na huko ili aonekane. by the way kama wewe ni Islam kama mimi jiongeze hapo.
Hana mkia mkuu huyu ni binadamu aliekamilika na...Ni murembo vya kutoshaAna mkia? ?
Not true I am an open mind person who prefer to bring difference to others life regardless of their social status, tribe, education and religious for the sake of development, peace & JusticeHuyo dalali itakua hiyo ni xhakula yake ya siku nyingi
haya, kamuone basi muongee kuhusu kujiongeza.Hapana mkuu. Tunaishi mikoa tofaut kwanza Nina zaid ya mwaka sijamuona