Anatafuta Kazi

Anatafuta Kazi

Huyu mdada mbona ana jeuri
kama kondoo dume! sasa kama ukimpata huyo mfanyakazi wa ndani utamlipa
nini wakati mwenyewe huna kazi? nyambafu kauzu.

nyambafu kauzu mwenywe maana sijue kama watu mnatukana watu just like that.
 
Huyu mdada mbona ana jeuri
kama kondoo dume! sasa kama ukimpata huyo mfanyakazi wa ndani utamlipa
nini wakati mwenyewe huna kazi? nyambafu kauzu.

na mume bali na mimi nataka nijishughulishe ndio maana na tafuata kazi kwa bidii nisaidia familia yangu
 
Kaza buti utapata ila hum ndani wanataka mabinti the way i saw mmmh ni balaa xana
 
Watu hawako makini humu najiuliza maana ya hii gt n nn kama hata kumsaidia mtu anashindwa unaweka utani zaidi,
Napata mashaka sana wanaovamia hii jf n facebook teenegers,
 
Eleza mahali ulipo au kazi ikipatikana mwanza utaenda maana ujasema uko mji gani?
 
Eleza mahali ulipo au kazi ikipatikana mwanza utaenda maana ujasema uko mji gani?
hata ukiandika umri,tarhe ya kuzaliwa watu awanbusara humu jf kama ni watoto vile kama unajiona unachakusaidia usiandike upuuzi utojua mwezako amekaa kacha vitu vingapi kuomba msaada kwenu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom