Sophia bavuma
Member
- Jan 12, 2012
- 66
- 6
Za siku wana JF nashukuru mimi na shida natafuta sehemu ya kufanya kazi maisha yamekua magumu. Mimi nimesomea masomo ya Secretary hata Stationary nitafanya.
Msaada jamani ni muda sijafanya kazi.
Msaada jamani ni muda sijafanya kazi.