Anatafuta Kazi Za Ndani Bila Ya Mshahara.

Anatafuta Kazi Za Ndani Bila Ya Mshahara.

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
6,249
Reaction score
5,963
7af6f8d7d2cc91cc4beca189ebd82525.jpg
 
Apambane tu na hali yake vilivyopo vinatosha watu hawataki kuvurugwa tena JPM anatosha kabisa kuvuruga watu
 
hawezi kubeba maji huku kwetu ushirombo, kazi kakosa teyari
 
Huyo hawezi kazi za ndan,labda kazi za nje ndo ataweza.
 
hawezi kubeba maji huku kwetu ushirombo, kazi kakosa teyari

Maji si ni Yaleyale tu mkuu au ya huko yana uzito tofauti kiongozi...?

Maji ni maji tu mkuu.
 
K

Kwa ma bachelor atapata lkn kwingine hii haikubaliki!!!!!!

Mke akiona house girl yuko hivyo aisee hata kama atajitolea bure kufanya kazi asilipwe hata senti hivi mke atakuwa tayari kukubali.

Nawaza tu kwa sauti.
 
Mke akiona house girl yuko hivyo aisee hata kama atajitolea bure kufanya kazi asilipwe hata senti hivi mke atakuwa tayari kukubali.

Nawaza tu kwa sauti.
Utaambiwa chagua moja kuishi hapa ndani!mimi au msichana wa kazi!!!!!!!!!
Kuna jirani yangu alileta wa style kama hii,nakwambia kina mama wa mtaa wakaandamana hadi akaondolewa!waliona ni hatarishi hata kwa nyumba zao!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom