Acha ujinga wewe, kuna watu wanautumia huu mtandao si kwa kutafuta umaarufu. Wewe ukikutana na mtu ameweka tangazo la kutafuta kazi halafu haeleweki basi mpotezee! Usichukue hatua ya kuwahukumu na wale ambao wanashida na hizo kazi kweli.
Nina Dada yangu a natafuta Kazi yeyote ila isiwe ya kuushusha utu wake alisomea stationary n alifany Kazi kwa mwaka aliacha kwa sababu binafsi anaishi dar
2wasiliane kwa nmb
0654970372