Anatafuta kazi yoyote

nusratyhmc

New Member
Jun 24, 2016
4
0
Nina Dada yangu a natafuta Kazi yeyote ila isiwe ya kuushusha utu wake alisomea stationary n alifany Kazi kwa mwaka aliacha kwa sababu binafsi anaishi dar
2wasiliane kwa nmb
0654970372
 
Humu jf kwenye kutafuta kazi huwa ni vituko sana, mtu anatafuta kazi ukimcheki unaambiwa kama huna elf 60 usimcheki.... Nadhani huwa hawana shida na kazi ila wanaulizia tu kama kazi zipo
Ndo ushangae nimempm kuna kazi nahitaji mdada yuko kimya! Sa sijui huwa wanakuja kutukejeli humu
 
Humu jf kwenye kutafuta kazi huwa ni vituko sana, mtu anatafuta kazi ukimcheki unaambiwa kama huna elf 60 usimcheki.... Nadhani huwa hawana shida na kazi ila wanaulizia tu kama kazi zipo
Nimemtext hata kujibu hataki.
Hata Tsh100,000 kwa mwezi ningelipa awe ananisaidia kazi hapa kwangu.
 
Khaaaaa huyo mwalimu anaelipwa milioni ni wa hapa hapa Tanzania au nchi gani.....
Hata hivo pesa haitoshi hata ukiwa na milioni mfukoni ukiona tsh Mia lazma uokote, naomba hiyo ajira teh
Au elimu yako pia umeajiriwa miaka michache.
Mbona staff kwangu wengi ni zaidi ya Tsh 1,235,000.(1.2mil)
Nitafutie wa kunisaidia ila sio wewe.
Wewe labda zaidi ya kazi za nyumbani sawa.
 
Humu jf kwenye kutafuta kazi huwa ni vituko sana, mtu anatafuta kazi ukimcheki unaambiwa kama huna elf 60 usimcheki.... Nadhani huwa hawana shida na kazi ila wanaulizia tu kama kazi zipo

MKUU,

SASA KUMPA CHINI YA ELFU 60 NI UNYONYAJI MKUBWA.
 
Au elimu yako pia umeajiriwa miaka michache.
Mbona staff kwangu wengi ni zaidi ya Tsh 1,235,000.(1.2mil)
Nitafutie wa kunisaidia ila sio wewe.
Wewe labda zaidi ya kazi za nyumbani sawa.
.Mkuu hao stafu wanamuda gani.kazini? Yani hiyo hela ni kuanzia TGTS G nadhani ambao watukwa kazini kwa zaidi ya miaka 10.
 
Wana miaka kumi ni TGTS F.
Walimu waliojiriwa mwaka 2006.
Ila kama elimu ni certificate hata kama umeajiriwa mwaka 1980 huwezi kufika mwisho ni TGTS E ambayo ni Tsh940,000
 
Humu jf kwenye kutafuta kazi huwa ni vituko sana, mtu anatafuta kazi ukimcheki unaambiwa kama huna elf 60 usimcheki.... Nadhani huwa hawana shida na kazi ila wanaulizia tu kama kazi zipo
Sasa kwa mfano anafanya kazi mahali, analipwa 100,000 na akaona haimtoshi, amekuja kuomba nyingine halafu anaambiwa 60,000, unafikiri kuna haja ya kujibu.
 
Hakua na kazi, ni ndugu yake anamtafutia kazi ya ndani, huyo huyo ndugu yake anajibu kama huna 60 usimcheki... Ustaarabu wa wapi huo
 
hapo kweli kakosea ama hajaonja uchungu wa kutokuwa na kazi.
Watu tulikuwa tunatamani hata kufanya kazi za bure ili tu uonekane asubuhi unaoga, unachomekea shati na kwenda kazini, kwa sababu kukaa nyumbani ni nuksi hasa kuanzia 21 hivi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom