Anatafuta kazi yoyote

Anatafuta kazi yoyote

Sory jamn anaeitaj kaz c mm nam hua naingia mala chache kutokana n mmbo yangu nmeghafilika ila nmetoa Nmba kurahisisha
 
Serious, wanaotafuta kazi humu huwa hawana shida na hizo kazi

Acha ujinga wewe, kuna watu wanautumia huu mtandao si kwa kutafuta umaarufu. Wewe ukikutana na mtu ameweka tangazo la kutafuta kazi halafu haeleweki basi mpotezee! Usichukue hatua ya kuwahukumu na wale ambao wanashida na hizo kazi kweli.
 
Nina Dada yangu a natafuta Kazi yeyote ila isiwe ya kuushusha utu wake alisomea stationary n alifany Kazi kwa mwaka aliacha kwa sababu binafsi anaishi dar
2wasiliane kwa nmb
0654970372
Hapo kwenye bold ndio tatizo, vinginevyo kesho angeanza Lumumba. Pale kigezo ni uwezo tu wa kujitoa fahamu
 
Acha ujinga wewe, kuna watu wanautumia huu mtandao si kwa kutafuta umaarufu. Wewe ukikutana na mtu ameweka tangazo la kutafuta kazi halafu haeleweki basi mpotezee! Usichukue hatua ya kuwahukumu na wale ambao wanashida na hizo kazi kweli.
Umeibuka tu ka nzi mxyuuuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom