nusratyhmc
New Member
- Jun 24, 2016
- 4
- 0
Humu jf kwenye kutafuta kazi huwa ni vituko sana, mtu anatafuta kazi ukimcheki unaambiwa kama huna elf 60 usimcheki.... Nadhani huwa hawana shida na kazi ila wanaulizia tu kama kazi zipoKazi za nyumbani unaweza.
Ndo ushangae nimempm kuna kazi nahitaji mdada yuko kimya! Sa sijui huwa wanakuja kutukejeli humuHumu jf kwenye kutafuta kazi huwa ni vituko sana, mtu anatafuta kazi ukimcheki unaambiwa kama huna elf 60 usimcheki.... Nadhani huwa hawana shida na kazi ila wanaulizia tu kama kazi zipo
Serious, wanaotafuta kazi humu huwa hawana shida na hizo kaziNdo ushangae nimempm kuna kazi nahitaji mdada yuko kimya! Sa sijui huwa wanakuja kutukejeli humu
Nimemtext hata kujibu hataki.Humu jf kwenye kutafuta kazi huwa ni vituko sana, mtu anatafuta kazi ukimcheki unaambiwa kama huna elf 60 usimcheki.... Nadhani huwa hawana shida na kazi ila wanaulizia tu kama kazi zipo
Au nije mie niwe napiga part time uwe unanipa hiyo laki, kama ye hatakiNimemtext hata kujibu hataki.
Hata Tsh100,000 kwa mwezi ningelipa awe ananisaidia kazi hapa kwangu.
Wewe si mwalimu hizo milioni hazikutoshi.Au nije mie niwe napiga part time uwe unanipa hiyo laki, kama ye hataki
Khaaaaa huyo mwalimu anaelipwa milioni ni wa hapa hapa Tanzania au nchi gani.....Wewe si mwalimu hizo milioni hazikutoshi.
Au elimu yako pia umeajiriwa miaka michache.Khaaaaa huyo mwalimu anaelipwa milioni ni wa hapa hapa Tanzania au nchi gani.....
Hata hivo pesa haitoshi hata ukiwa na milioni mfukoni ukiona tsh Mia lazma uokote, naomba hiyo ajira teh
Humu jf kwenye kutafuta kazi huwa ni vituko sana, mtu anatafuta kazi ukimcheki unaambiwa kama huna elf 60 usimcheki.... Nadhani huwa hawana shida na kazi ila wanaulizia tu kama kazi zipo
.Mkuu hao stafu wanamuda gani.kazini? Yani hiyo hela ni kuanzia TGTS G nadhani ambao watukwa kazini kwa zaidi ya miaka 10.Au elimu yako pia umeajiriwa miaka michache.
Mbona staff kwangu wengi ni zaidi ya Tsh 1,235,000.(1.2mil)
Nitafutie wa kunisaidia ila sio wewe.
Wewe labda zaidi ya kazi za nyumbani sawa.
Wana miaka kumi ni TGTS F..Mkuu hao stafu wanamuda gani.kazini? Yani hiyo hela ni kuanzia TGTS G nadhani ambao watukwa kazini kwa zaidi ya miaka 10.
Sasa kwa mfano anafanya kazi mahali, analipwa 100,000 na akaona haimtoshi, amekuja kuomba nyingine halafu anaambiwa 60,000, unafikiri kuna haja ya kujibu.Humu jf kwenye kutafuta kazi huwa ni vituko sana, mtu anatafuta kazi ukimcheki unaambiwa kama huna elf 60 usimcheki.... Nadhani huwa hawana shida na kazi ila wanaulizia tu kama kazi zipo
Hakua na kazi, ni ndugu yake anamtafutia kazi ya ndani, huyo huyo ndugu yake anajibu kama huna 60 usimcheki... Ustaarabu wa wapi huoSasa kwa mfano anafanya kazi mahali, analipwa 100,000 na akaona haimtoshi, amekuja kuomba nyingine halafu anaambiwa 60,000, unafikiri kuna haja ya kujibu.
hapo kweli kakosea ama hajaonja uchungu wa kutokuwa na kazi.Hakua na kazi, ni ndugu yake anamtafutia kazi ya ndani, huyo huyo ndugu yake anajibu kama huna 60 usimcheki... Ustaarabu wa wapi huo