Anatafuta Kazi ya Upishi.

Anatafuta Kazi ya Upishi.

Mwendabure

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
2,138
Reaction score
1,045
Ndg wana JF!
Ndugu yangu anatafuta kazi ya upishi. Yupo tayari kufanya kazi ktk Hoteli,Kantini za Vyuo, Shule, Hospitali na hata ktk Familia zinazohitaji huduma ya kuwa na mpishi. Jinsia ni Mwanaume, umri wake ni miaka 33. Anao uzoefu wa muda mrefu ktk mapishi ya aina mbalimbali. Mawasiliano zaidi nitumie PM (Private Massage) Yupo tayari kufanya kazi nje ya Dar es Salaam, ikibidi!
 
Naomba uweke CV yake tafadhali (PM) bila kusahau orodha ya sehemu alizofanyakzi; akiweka na contacts zao inakuwa vizuri. Asante.
Mama D, Baba D hajambo? bado anavaa ule mtindo wa "kitoko" hahaaa!
 
Naitaji mpishi part time lakini
 
atafanya kazi za ziada? kama kudek kufua, kuogesha watoto nk au nikupika tu?
 
Naomba uweke CV yake tafadhali (PM) bila kusahau orodha ya sehemu alizofanyakzi; akiweka na contacts zao inakuwa vizuri. Asante.
Mama D, Baba D hajambo? bado anavaa ule mtindo wa "kitoko" hahaaa!

Sijambo Amoeba,
Huo mtindo wa kitoko ndo upi vile!!??
 
Back
Top Bottom