anatafuta kazi ya udereva | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

anatafuta kazi ya udereva

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by zumbemkuu, May 26, 2011.

 1. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #1
  May 26, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  hbr wana JF.
  nina mdogo wangu anatafuta kazi ua udereva, ana driving licency class A, B & D. (lesseni mpya)
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Nikinunua gari nitamtafuta.
   
 3. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  zumbemkuu kuna sehemu wanataka dereva ila ni kibarua kutoa gari bandarini ,sasa wanataka classE maana gari ni dizaini nyingi,anyway mwambie anitumie email gsana6@gmail.com ntamuelekeza ajaribu. Nb: hawataki mdokozi,pia malipo ni sh.elf8 kwa siku,yuko tayari nitafute fasta kazi nje nje!
   
 4. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #4
  May 27, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  mkuu ntamwambia akutumie email, asante sana mkuu, magari yote anaendesha coz alikuwa anaendesha fuso huko kigoma thou hakuwa na leseni, sasa wkt wakufanya mchakato wa kutafuta leseni ndo kukatokea makosa ya kiufundi wkt wa mchakato ndo maana akapata D.
   
 5. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #5
  May 27, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  utanunua lini mkuu?
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  ndio kwanza nazichanga changa.
   
Loading...