Anatafuta kazi ya salon

Anatafuta kazi ya salon

dunyeru

Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
5
Reaction score
1
Jaman wadau kuna binti ana uzoefu wa kazi za saloon ya kike anatafuta ajira yupo mbeya mjini......kama kuna mtu ana muhitaji ani pm
 
Ujuzi mwingine hata hauhitaji kuajiriwa, mi najua mtaji wa msusi ni chanuo na mkeka....
Kuna dada hapa jirani anasuka kwake tu kwenye mkeka, yani foleni inaanza saa moja asubuhi hadi nalala ye anasuka tu, sijui atakaemuajiri atampa sh ngapi.
Sole msiopenda neno kujiajiri
 
Huyo ni Freemason . ..ni maoni tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom