Anaswa akiuza uume

Anaswa akiuza uume

Nilidhani utapenda hii


kuna fursa ya biashara nimeiona hapa!
img_hjc_helmets2.png
tatizo sijui itatengenezwaje!
ANYONE WITH AN IDEA!please!
 
Ndio maana mkiamua mnaicheki?

Kuna uzi hapa jana wanamme wengi wamekubaliana nao
wanapenda kupitisha mkono ikulu

Kuicheki ipo nayo lakini ni faragha zaidi sio kama vile kadamnasi noma.
 
Aisi hii kali! Mbo imekuwa dili kiasi hicho! wanaume tuwe makini sana na mbo zetu.
 
Kumbe kila mwanamme anatembea na kama laki 5 na ushee hivi.....Ngoja niwashtue wale ndg zangu wataalam wa biashara.
 
jamani chupi boxer za chuma zinapatikana wapi? tena kufungua kwa combination
 
Sasa najua kwa nini huwa mnaingizaga mikono kuzishika....... Kumbe mnaangalia hazina kama ipo au haipo

Cc watu8
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom