Anaswa akiuza uume

Anaswa akiuza uume

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,102

Jeshi la polisi nchini malawi wanamshikilia kijana mmoja baada ya kumkuta akiuza sehemu ya siri ya mwanaume.

Kijana huyo mwenye miaka 24 alikamatwa baada ya wananchi kutoa ripoti kituo cha polisi kuwa kunamzee kalala relini huku akiwa anatokwa damu nyingi
Polisi walifika eneo la tukio na kumkuta mzee huyo akiwa hoi na kuamua kumkimbiza hosipitali.

Baada ya kufikishwa hosipitali, madaktari gundua kuwa mzee huyo alikuwa amejeruhiwa kwa kukatwa sehemu zake za siri...

Madaktari hao walilipoti kwa maofisa hao wa polisi na ndipo msako mkali ulipo pita katika wilaya ya Lakeshore mjini Salima na polisi hao kufanikiwa kumtia mbaroni kijana huyo baada ya kumkuta akiwa katika gesti bubu akijaribu kuuza uume huo kwa dola za kimarekani 360.
Mtuhumiwa Samuel Banda

Polisi walisema mtuhumiwa Samuel Banda alikamatwa na kiungo hicho ambacho alikuwa amekifunga katika karatasi nyeupe.

Mtuhumiwa alikiri kuwa huwa anauza viungo mbalimbali vya binadamu kwa wafanya biashara maarufu nchini humo ambao wanaamini wakivipata viungo hivyo huwasaidia katika biashara zao na huwaongezea utajiri.
 
kuna fursa ya biashara nimeiona hapa!
img_hjc_helmets2.png
tatizo sijui itatengenezwaje!
ANYONE WITH AN IDEA!please!
 
Ha ha ha, acha woga

Huuzi yako, unauza ya mwingine

Ila inahitaji ujasiri kumng'oa mtu hii kitu

Kongosho,

Binadamu hawaaminiki kabisa kama wanachuna mtu ngozi hai au wanakata mguu wa Albino lazima sasa tulale kifudifudi unaweza kuamka asubuhi unakuta Ikulu imeshaondoka.
 
Ndio maana mkiamua mnaicheki?

Kuna uzi hapa jana wanamme wengi wamekubaliana nao
wanapenda kupitisha mkono ikulu

Kongosho,

Binadamu hawaaminiki kabisa kama wanachuna mtu ngozi hai au wanakata mguu wa Albino lazima sasa tulale kifudifudi unaweza kuamka asubuhi unakuta Ikulu imeshaondoka.
 
Back
Top Bottom