hello wana jf. nina rafiki yangu msichana alikorofishana na bf wake ambae anampenda, sasa anataka kuomba msamaha lakini anashindwa aanze vipi coz alimtext message ambazo anavosema mwenyewe sio nzuri. anaomba ushauri aanze vipi? nimelileta hapa hili coz najua penye wengi hapaharibiki neno, ukizingatia wakaka wapo humu ambao wanaweza kumwaya mwaya siri za jinsi wanavoweza kusamehe kirahisi.....