Huyoni Mkeo au unafanya naye tu zinaa na uasherati?
Acha zinaa ndugu yangu Chapakila , ikimbie zinaa kabisa ni hatari sana kwa mustakabali wako. Muogope sana MUNGU, na uzishike Amri zake na mafundisho yake. Dini zote duniani zinakataza "zinaa". Kama unataka kuwa na mwanamke na kufurahia tendo la kujamiiana, basi oa na uwe na Mke wa halali kabisa ambaye utafanya naye hilo "tendo" kwa kadiri utakavyo.
Kumbuka hizi starehe za ngono ni zamuda mfupi tu na zinapita, lakini matendo yako yote yanawekwa akiba kwa ajili ya ile siku ya hukumu ambayo itakuja na hakika siku hiyo utalipia mara kila tendo ovu unalolifanya sasa hivi. Hata hivyo hujachelewa bado, unaweza ukatubu na kuacha kabisa zinaa na MUNGU atakusamehe. Kama wewe ni Mkristo soma hii; EZEKEKIELI 18:21-22
Nisaidie mkuu. Haya mahesabu ya muda yanapigwaje? Mnatumia alarm, stop watch au just makadirio tu?Magoli matano unamanisha nini.....utoto au ujinga?
Kuna goli ndani ya dk 3 x 5 = dk 15
Goli ndani ya dk 10×5=dk50
Goli ndani ya 30min
Goli ndani ya 50 min
Sasa tuchukuwe goli ndani ya dk 30 x 5=dk 150 masaa mawili au matatu
Goli ndani ya dk 50 x 5 = 250 masaa manne mnapandana tu.....kweli!
Sometimes nyie watoto msilete mada za kitoto hapa
Wapo wanapiga goli moja dk 60, SAA moja yakiwa matano maana yake mkianza kupandana SAA moja asubuhi mpaka SAA saba mchana mnato.MBA.na tu? Hii ndio hoja yako?
Does this make sense to you?
Naomba kuuliza hili jambo ni sawa au huyu mdada ana appetite isio na kipimo.
Kuna mrembo mmoja kwenye kugegedana kila ukipooza anafyona fyona na kulalamika. Kama mara mbili haya yamenikuta kumuhoji na kumuuliza anasema yeye bana chini ya goli 5 ajasikia chochote, Mbaya zaidi pindi kidume nafunga goli ndo naona nyavu ilee utasikia acha izo usifunge goli kwanza duh!.
Mbaya zaidi ni toto zuri na la haja limejaaliwa na kiuno kina shanga ila balaa lake ndo ilo na nilijaribu kufikia hizo 5 ila bado anataka kuendelea.
Ndo mnafunzwa kuja kutukomoa kitandani namna hii mana huku nikukomoana sio kupenda tendo aisee!.
Ushawai kukutana na mtu kama huyu?
Nisaidie mkuu. Haya mahesabu ya muda yanapigwaje? Mnatumia alarm, stop watch au just makadirio tu?
Chukua soda apo ulipoMagoli matano unamanisha nini.....utoto au ujinga?
Kuna goli ndani ya dk 3 x 5 = dk 15
Goli ndani ya dk 10×5=dk50
Goli ndani ya 30min
Goli ndani ya 50 min
Sasa tuchukuwe goli ndani ya dk 30 x 5=dk 150 masaa mawili au matatu
Goli ndani ya dk 50 x 5 = 250 masaa manne mnapandana tu.....kweli!
Sometimes nyie watoto msilete mada za kitoto hapa
Wapo wanapiga goli moja dk 60, SAA moja yakiwa matano maana yake mkianza kupandana SAA moja asubuhi mpaka SAA saba mchana mnato.MBA.na tu? Hii ndio hoja yako?
Does this make sense to you?
Unakojoa fasta kama kukiLipi?
HUJUI KUGONGA FULL STOP.....Naomba kuuliza hili jambo ni sawa au huyu mdada ana appetite isio na kipimo.