nimeipendaMagoli matano unamanisha nini.....utoto au ujinga?
Kuna goli ndani ya dk 3 x 5 = dk 15
Goli ndani ya dk 10×5=dk50
Goli ndani ya 30min
Goli ndani ya 50 min
Sasa tuchukuwe goli ndani ya dk 30 x 5=dk 150 masaa mawili au matatu
Goli ndani ya dk 50 x 5 = 250 masaa manne mnapandana tu.....kweli!
Sometimes nyie watoto msilete mada za kitoto hapa
Wapo wanapiga goli moja dk 60, SAA moja yakiwa matano maana yake mkianza kupandana SAA moja asubuhi mpaka SAA saba mchana mnato.MBA.na tu? Hii ndio hoja yako?
Does this make sense to you?