Chapakila
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 290
- 1,423
Naomba kuuliza hili jambo ni sawa au huyu mdada ana appetite isio na kipimo.
Kuna mrembo mmoja kwenye kugegedana kila ukipooza anafyona fyona na kulalamika. Kama mara mbili haya yamenikuta kumuhoji na kumuuliza anasema yeye bana chini ya goli 5 ajasikia chochote, Mbaya zaidi pindi kidume nafunga goli ndo naona nyavu ilee utasikia acha izo usifunge goli kwanza duh!.
Mbaya zaidi ni toto zuri na la haja limejaaliwa na kiuno kina shanga ila balaa lake ndo ilo na nilijaribu kufikia hizo 5 ila bado anataka kuendelea.
Ndo mnafunzwa kuja kutukomoa kitandani namna hii mana huku nikukomoana sio kupenda tendo aisee!.
Ushawai kukutana na mtu kama huyu?