Anasema ananipenda ile hali alinigomea ndani ya Box

Anasema ananipenda ile hali alinigomea ndani ya Box

Kumbe ndio maana. Kama ungekuwa wa dar...... Usingekubali kuchezea akili

Mtu mzima unakubalije kufanyiwa utoto huu?? Mtu mzima unamkaribishaje mtu uliyeonana nae kwa muda mfupi ulale nae??
Udhaifu we wanaume wengi ni kupenda nyamafu, yaani kilichojifia.
Unasubiria aje kitandani ndipo uanze kubaka!
 
Back
Top Bottom