Anasema ananipenda ile hali alinigomea ndani ya Box

Anasema ananipenda ile hali alinigomea ndani ya Box

Mkuu, ungevuta mpaka ile mida hatari ya kuanzia saa sita ndio ungeanza harakati. Usiwe na pupa siku nyingine.
 
we utakua unakaa CHATO...yani lazimaaa tuu.....manake cio kwa uzembe huo east and central africa
 
Kwahiyo pesa zetu za walipa kodi mnazopata ninyi Kama mikopo ya kusoma, mnatumia kununulia vocha kwaajili ya ufuska pa1 na mageto ili mtombane au sio?
 
Kwahiyo pesa zetu za walipa kodi mnazopata ninyi Kama mikopo ya kusoma, mnatumia kununulia vocha kwaajili ya ufuska pa1 na mageto ili mtombane au sio?
Acha ukum.a wew unatoa kodi gani ww na kwa akili yako unafikiri wote tunaosoma chuo tunategemea kodi yako kafe kule kwa taarifa yako sisomi kwa kutegemea yako pambana na hali yako mpuuzi mkubwa ww kodi na geto langu linahusiana vipi ulitaka niishi kwa b mkubwa wako?
 
Hamkuoga asubuhi? Mmepiga miswaki tu mkaondoka?

Lichai lako halina sukari halinyweki dogo.
 
Kwahiyo pesa zetu za walipa kodi mnazopata ninyi Kama mikopo ya kusoma, mnatumia kununulia vocha kwaajili ya ufuska pa1 na mageto ili mtombane au sio?
Kwa akili yako fupi kama kimo cha kuku unajiamin kuwa nimaishi kwa kutegemea kodi yako wew unashindwa kutafakari ni watu gani wanaokula kodi yako unaanza kuleta habari za mwanamke alieachika hapa
Mimi ninalipa ada zaid ya milioni moja na ushee.. ninalipa universty cost ...
Wew ambae unapata hela ya viroba unanunua bando la kuja jukwaani unadhiliki kusema kuwa wanachuo wanakula kodi zenu kipindi umepanua mkund*u unaipigia CCM kura haukujua yote leo hii unakalia majungu eti kodi yako tunanunua vocha na kulipia kodi ya vyumba tunavyokaa mbona waTz tuna akili fupi sana na kudharauliana mimi sio mjinga kiasi hiko kuandika huu uzi humu na uskae ukafkiria kuwa iam as you see my thread mi ni mtu mwenye timamu yangu huku jf tunakuja kureflesh mind tu ila msikae mkaona post za watu mkajua kwel alichokipost ndio urefu wa akili yake...
Ni nimekuwa nikiwazoom tu mnaoropoka er ID yangu inaonesha umri wangu kwa kuwa Watanzania wengi tuna akili fupi kama makalio ya inzi na ndio maana kuna watu wanaishi kwa kuchezesha saikolojia zenu kwa ujuaji ambao hautusaidii...
 
Acha ukum.a wew unatoa kodi gani ww na kwa akili yako unafikiri wote tunaosoma chuo tunategemea kodi yako kafe kule kwa taarifa yako sisomi kwa kutegemea yako pambana na hali yako mpuuzi mkubwa ww kodi na geto langu linahusiana vipi ulitaka niishi kwa b mkubwa wako?
Mdogo wangu umekula cha meru au malawi kuwa na staha kidogo mkuu inaonyesha how empty minded ur what if ni baba yako au ni mama yako una mtusi hvi
 
Wakuu niende kwenye topic

kuna Demu Mmoja ivi tulikutana nae Maeneo ya chuon yeye ni 1st year tulipanda nae gari moja kwenda chuoni katika kupga stori akaniomba namba nikampa baada ya kushuka kwenye kituo cha daladala kila mtu kaenda zake ila cha ajabu kufikia mida ya saa tatu usiku nikapigiwa simu na namba ngeni kupokea aliepga akajitambulisha kuwa ni dada tuliepanda nae daladala moja kwenda chuon na aliomba nionane nae mda ule...

Basi bana kama kawaida kidume sikuload... nikamwambia tuonane maeneo fulani ivi mda c mrefu akanipgia simu kuwa tayar ameshafika..

Kufika nikamkuta kweli mtoto katupia kigauni kifupi na marashi hatari.. Mashalaah ni mtoto kweli..!

Baada ya baada ya salamu mtoto akaniuliza samahani kakangu kwa usumbufu mda ule sikukumbuka hata kukuulizia hata jina lako nikamwambia usjali mi naitwa. .......

Nawe mwenzangu unaitwa nan akinijibu anaitwa Neema.

Baada ya utambulisho mtoto akaniuliza kk samahan kwa usumbufu room kwako unakaa na nan?
Kwa bahati nzur nilikuwa peke yng siku hyo nikamwambia nipo peke angu
Akaniambia samahn kk wenzangu wameondoka na funguo unaweza kunihifadhi nilale room kwako?..
Nikasema poa!

tukaongozana nae kwenda rom kwngu baada ya mda wa kulala kufka nikamwonesha pakulala nikamwambia mi nataka nikalale kwa jamaa yangu kama kumpima kumbe nilikuwa nazuga ili kupima imani yake atasemaje kwani ninalo shuka moja la kujifunika akaniambia nisijal tutajifunika wote hilo moja
Hapo kimoyomoyo nikajisemea leo nimepata zari sasa tumeingia kulala nikajisemea hii ndo chance mwenzio nikaanza kumpa maneno matamu huku nikimtomasa kwa utundu cha ajabu mtoto hanielewi mara akaanza kulia na kuanza kusema wenzangu wasingenifungia nisingekuja huku kupata taabu hizi ....
Duu hadi nikajikuta napatwa na huruma na kujutia nilichotaka kufanya nikaona isiwe nouma nikamtuliza baada ya yeye kutulia nakurudi kulala

nikamgeuzia mgongo nikapga usingizi hadi kesho yake asubuhi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndo nikaskia sauti yake ikinisalimia asubuhi na kuniuliza nimelalaje ndo nikastuka baada ya kuamka nikapga mswaki nayeye nikamchotea maji baada ya kuswaki nikamsindikiza nayeye akaenda zake....
Nakumbuka mida tunatoka washikaji tuliokutana nao walinipongeza kwa kuonekana natoka na chombo kikali room kwangu mida ile kwani walijua nililala nacho
Kudadeki kiroho kiliniuma nikikumbuka kilichonitokea sijalamba kitu...
Nikaamua kudeleta namba yake pale pale na kuendelea na mishe zangu
Sikuwaza kumtafta tena....

Cha ajabu zimepita wiki mbili baada ya lile tukio ma yeye hakuwahi kunipigia wala kunitumia sms
Sasa nashangaa leo amenipigia eti analaumu nimempotezea, mara anaomba nimsamehe kwa yaliotokea....
Sasa hapa simuelewi anataka nini....
Je inaweza kutokea kweli akawa anajutia alichokifanya?
Atakua anajutia. Labda umehisi havutii..nk. Labda wewe ni gentleman nk.. Kwasababu hukum-find tena after ile situation. Pole sana kws kwa kumiss


...by ze way.., Sijawahi kukosa penalti kwenye Goli.
 
Mdogo wangu umekula cha meru au malawi kuwa na staha kidogo mkuu inaonyesha how empty minded ur what if ni baba yako au ni mama yako una mtusi hvi
Your also empty more than because your making form judgement huwez kumwita mtu usiemjua mdg wako kisa kaweka ID "youngtozy1992" kwa akili yako ningeweka ID ya "oldman1950" ungesema napo kuwa mzee kuwa nakauli nzuri au? Tatzo watanzania tuna akili ya kuamini tunatoyaona kuliko tunayoyajua...
Kwa elimu yako wew nae unawezaje kunifikiria kama mind yangu inalingana na hyo post? Kwa taarifa yako jf wengi tunakuja kulilax baada ya kazi nyingi ko tunaweza kutunga story ili tushare coment na watu tufulahi sku ziende na ndio maana kuna majukwaa mengine humu isifkiria kila mtu ana thiker mind kama wewe unavyofkiria ndg humu watu tuna ID kibao ko usikae hata siku moja ukaita mtu dogo au ukaona post ukajua aliepost ni mtoto na ana akili sawa na alichokipost....be carefull ndg ndio maana humu tuna apply majina jumuishi kama vile ndugu....mkuu etc..
Na hata ukiona post ya ya kike usikae ukaamin aslimia 100 kuwa kwel mtoa post ni mwanamke jaribu kufuatilia vitu wapo tunaojuana personal humu ila wanachokipost ni tofaut na uhalisia wao ko kuwa makini sana ndg mi ni mtu mzima na akili zangu na hata kama ukiona post zangu the same utajua mi mtoto maana watanzania mna akili ya kuamini unachokiona zaid ya kile unachokijua[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Mtoa post ni fala sana Hana akili Hata kwa jinsi anavojibu inadhihirisha alivokua Hana akili
 
kwa majibu ya mtoa post inaonyesha ana shida mahali
Umeona sio kwa jinsi alivomwaga povu
3b19b9d346be49beccdfbe370c21886f.jpg
 
Acha ukum.a wew unatoa kodi gani ww na kwa akili yako unafikiri wote tunaosoma chuo tunategemea kodi yako kafe kule kwa taarifa yako sisomi kwa kutegemea yako pambana na hali yako mpuuzi mkubwa ww kodi na geto langu linahusiana vipi ulitaka niishi kwa b mkubwa wako?
18221f943ff93f1d708efc3532891374.jpg
 
Back
Top Bottom