LDA COMPANY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 340
- 633
Nawewe post ukiwa na mwanamke mwingine,halafu kaa kimya,akikuuliza ndio hapo utakapoanzisha mada na kumueleza nini unataka na nini hutaki kuhusu hizo picha.habari ndugu zangu.
Nina binti nampenda sana na nina mpango wa kuishi nae kama mke wangu. Ila mimi na yeye tupo kwenye long distance relationship. Sasa juzi kaenda kwenye sherehe ya dada ake ya engagement.
Ambacho sijaelewa anakaa anapost picha na mojawapo ni ya best man na yeye wako pamoja anaandika caption za kusifia na kaipost mara ya pili sasa. Nashindwa hata nimkataze vipi ndugu zanguni naombeni ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kurudia sio shida kaka,hata angeweka mara millions uhalali wa picha tutahalalisha kwa captions tu,
Basi man ngoja niachane naeUshasema mpo kwenye long-distance relationship, na unajua fimbo ya mbali haiui nyoka. Kama umeona kapost yuko na fimbo ya karibu yake basi jua ishaua nyoka tayari.
Washa kiberitihabari ndugu zangu.