Anapigwa risasi

Anapigwa risasi

Nonda

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
13,358
Reaction score
4,308
WanaJF,
Nimekutana na hii video, mwishoni mwa video jamaa anajitoa muhanga na anatwangwa risasi. Maandamano ya Egypt

 
Last edited by a moderator:
Dah! Inasikitisha.....inatia hasira....mh!
Mkuu,
naona umeondoa kilemba leo au ndio unajitaayarisha na maadamano?
Wakimaliza wa kaskazini ,wanaanza wa kusini...
Au Nilham ameondoa cha kwake?
 
mkuu,
naona umeondoa kilemba leo au ndio unajitaayarisha na maadamano?
Wakimaliza wa kaskazini ,wanaanza wa kusini...
Au nilham ameondoa cha kwake?

kuanzia leo niko ki kazi zaidi....l.o.l
 
Du ni kweli inasikiisha hata mm niliiona kwenye AlJazeera sikujua alikuwa anaenda wapi? kwani alishavua koti akaanza kurudi nyuma, jamani hizi risasi ni za moto
 
the video is very sad, sijaona kama yule jamaa alikua any threat kwa mwenye bunduki... ohhh lord!
 
Very disturbing
 
Back
Top Bottom