Complex Minder
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 534
- 160
Kama hajaoa / kuolewa afanye hivo ....
Habarini naombeni msaada kwa huyu ndugu yangu kwani huota akifanya mapenz usiku na jinsia tofauti ya kike na kiume imefikia kuna kipindi alikua akiamka anakuta kakwaruza sehemu za mwili na mikwaruzo hiyo hua kama makucha lakini hali hiyo ilibadilika kiasi kwamba hadi mchana huisi maumivu yakuungua bahadhi ya sehemu za mwili na baada ya maumivu kuisha hukuta sehemu ile inamikwaruzo ya kucha na kila akiona mikwaruzo lazima usiku aote akifanya mapenzi
Hiyo hali imezidi hadi mchana akiwa kakaa huisi husingizi kwenda kulala anaota anafanya na watu anafanya nao huja na picha ya kaka zake mjomba wake yani wale ndugu wa karibu wa kiume
Ushauri jamani na msaada pia anaejua tiba ya hili tatizo kwani anakonda sana na kupauka
Hilo ni wanaita Jini mahaba km amepata mafundisho yakutosha ajiombee au aende kwa watumishi bila hivyo km hajoa hataoa nakm ataoa kwakujilazimisha atateseka sana
Daaah alichepuka na mme wa mtu nini wakamuundia kamati
alishawahi kufanya mapenzi?
uzuri wa ndoto hawezi kupata magonjwa ya zinaa,mm naona ni bora kuliko kufanya kweli
Umri wake bado kwani ni miaka 21tu na bado anasoma
mkubwa miaka 21, kabda hapo kwenye kusoma , .... anahamu tu! kiswahili sanifu twaita nye.ge! .. ndoto mara nyingi ni vitu ulivofanya mchana kutwa , au unavyotegemea kufanya au unahamu ya kuvifanya ..... ! solution aoelewe asizini
atafte mpenzi ambaye atakuwa akifanya naye mapenzi kabla yakulala ili jini mahaba atakapo kuja kufanya naye mapenzi atamkuta ameshachafuliwa hivyo hatomgusa kwakuwa mashetani hayapendi vitu vichafu au ale kitimoto na kupaka mafuta yake mwilini[/QUOu
Ushauri mzuri