Kaombewe......
daaah, jaman hivi hao jini mahaba/ngono wako kwa akina dada tuu!!!! mbona sijawahi kusikia mwanaume kashikwa na jini wa kikee!!!!
au majini ni wa kiume tuu!!!
daaah, jaman hivi hao jini mahaba/ngono wako kwa akina dada tuu!!!! mbona sijawahi kusikia mwanaume kashikwa na jini wa kikee!!!!
au majini ni wa kiume tuu!!!
NINA JINI MAHABA ANANIFANYA
VIZURI KIASI SITAMANI
MWANAUME YOYOTE..HELP PLIZ
Mimi ni msichana wa miaka 29 , nina tatizo
ambalo limenifanya mpaka sasa sijaolewa na
umri unakwenda , nimekuwa nikisumbuliwa na
jina mahaba huwa linanitokea usiku wa
manane na kufanya mapenzi na mimi ..hali hii
imekuwa kwa miaka saba sasa , na cha ajabu
huwa tukifanya mapenzi katika hiyo hali huwa
naridhika kabisa yaaani acha tu kiasi kwamba
wavulana siwapendi hata kidogo na wala sisikii
raha nikifanya nao kiasi naishia
kuwaacha..nimejaribu kuwa na boyfriends
wengi tu ila mapenzi hayaduma naishia
kuwachukia .....Umri unaenda nahitaji
kuolewa ila siwapendi wavulana nawachukia
sana.....nifanyeje ili niwe msichana wa
kawaida na hili jina mahaba litoke ?
Duh emniambie ilo jini linakutokezea kama mtu then linakuingia kabisa au ni vip???
DADA pole sana kw yanayo kusibu,ila Dada yangu na sikitika sana kwanini umeishi muda mwingi na shetani bila kujitambua??ila Nashukuru sana Mungu cos Mungu atakufungua siku sio nyingi,uko Arusha au uko pande gani??njoo redio safina kuna maombi na utafunguliwa kabisajitaidi kuwa karibu Mungu,im sure umeanza kupata ujasiri wa kumchukia shetani,Naomba jitaidi kujifunza maneno ya Mungu yatakuwa msaada sana,Mungu akufungulie njia sahihi ya kutatua tatizo lako. Ameni.
Kama unalichukia hilo jini mahaba basi dawa ni kwenda kwenye maombi. Tena yahitaji uvumilivu manake hilo lina kwaida ya kuwatia uvivu hata waombaji sasa kwa ushauri tafuta watu makini wakusaidie kwa njia ya kukufanyia maombi. Kumbuka kwa Mungu hakuna lisilowezekana na hilo ni jambo dogo sana kwake.