Anaomba ushauri: Achague kozi gani kati ya hizi?

Anaomba ushauri: Achague kozi gani kati ya hizi?

Siachi hela

Senior Member
Joined
Jun 17, 2022
Posts
136
Reaction score
248
Kijana yupo dillema, anaomba ushauri wa wadau wenye uzoefu ili isijetokea akaharibu huko mbele.

Amechaguliwa Course zifuatazo na ana hitaji aconfirme mojawapo.

UDSM - GEOMATICS
UDOM - MINNING ENGINEERING
ARDHI - GEOMATICS

Msaada tafadhali kijana achague programu ipi kati ya hizo??
 
Aisikilize roho yake inataka nini.. Atafanya vema sana
 
Nadhani Geomatics ya ardhi ni quality zaidi ya udsm

Kwa ushauri wangu........
1. Geomatics - Ardhi
2. Geomatics - udsm
3. Mine Engineering - udom

Thank me apres!
 
Nadhani Geomatics ya ardhi ni quality zaidi ya udsm

Kwa ushauri wangu........
1. Geomatics - Ardhi
2. Geomatics - udsm
3. Mine Engineering - udom

Thank me apres!
Naungana na ww...
 
Nadhani Geomatics ya ardhi ni quality zaidi ya udsm

Kwa ushauri wangu........
1. Geomatics - Ardhi
2. Geomatics - udsm
3. Mine Engineering - udom

Thank me apres!
Asante kwa ushauri ndugu.
 
Udsm geomatics
Advantage
1.title ya chuo namba1 nchin(hapa ukimaliza vzur,.. masters na phd unaomba nje ya nchi na scholarship unapata bila maswal meng
2.koz nzur
 
Udsm geomatics
Advantage
1.title ya chuo namba1 nchin(hapa ukimaliza vzur,.. masters na phd unaomba nje ya nchi na scholarship unapata bila maswal meng
2.koz nzur
Asante kwa ushauri mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom