AnyWayZ
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 4,885
- 8,479
Aah Nisameh mm Mkuu, Mbona upo sahih nami nimekueleza kwa wema tu kwa mfumo wa Utani.Ni mtazamo wangu Lakini...kama nimekosea nisamehe mimi
Aah Nisameh mm Mkuu, Mbona upo sahih nami nimekueleza kwa wema tu kwa mfumo wa Utani.Ni mtazamo wangu Lakini...kama nimekosea nisamehe mimi
Aache mbwembwe. Kama nia Ni engineering.Kijana yupo dillema, anaomba ushauri wa wadau wenye uzoefu ili isijetokea akaharibu huko mbele.
Amechaguliwa Course zifuatazo na ana hitaji aconfirme mojawapo.
UDSM - GEOMATICS
UDOM - MINNING ENGINEERING
ARDHI - GEOMATICS
Msaada tafadhali kijana achague programu ipi kati ya hizo??
AiseeUdsm geomatics
Advantage
1.title ya chuo namba1 nchin(hapa ukimaliza vzur,.. masters na phd unaomba nje ya nchi na scholarship unapata bila maswal meng
2.koz nzur