Anaomba niwe mchepuko wake, hii imekaaje wanandoa?

Huyu mwanamke alikuwa girlfriend wangu miaka kama kumi na sita iliyopita, tulikuwa ndani ya uhusiano huo kwa muda wa miaka isiyopungua minne ofcourse kila mtu, familia, marafiki hata yeye alijua nitamuoa lakini nikabadili gia angani nikaoa mwanamke mwingine(stori ndefu) hakuna aliyeamini lakini ndiyo ilivyokuwa.

Nikawa nimemuharibia maisha yake na kumsababishia stress, frustrations etc, (hii ilikuwa inaonekana wazi wazi) kila nikutana na marafiki zake wananipa stori za huzuni kuhusu yeye nk nk, wanaomba nikamuokoe mwenzao (alikuwa shuleni na ikawa inaelekea kumshinda kabisa sababu ya ulevi wa kupindukia, bangi nk) haikuwezekana, maisha yakaendelea na baadaye akakaa sawa, akapata kazi nzuri na baadae akaolewa na kuwa na familia yake.

Tukaja kukutana kwenye mitandao, nikajistukia lakini nikashangaa akasema amenisamehe lakini hatonisahau, tukaanza tena mawasiliano mpaka ofisini kwake nikawa nakwenda kwasababu nilikuwa mteja pale mawasiliano yakaendelea, urafiki ukarudi na tumeshatoka lunch mara mbili tatu.

Majuzi, tukiwa tunachat kaniambia ana ombi maalum kwangu anaomba anipigie nikamwambia sawa piga akasema anaomba niwe mchepuko wake rasmi na hataki kuhangaika kabisa anasema amejitahidi miaka yote hawezi kunisahau anaomba hilo yupo tayari hata kulipia safari ya nje (sasa hivi anayo hiyo jeuri) ila niwe mwaminifu kwake na nisiwe na mchepuko mwingine wowote sababu wote tuna familia nk na akaniambia nisimuumize tena, ikabidi nikubali nikamwambia tutapanga very soon.

Wadau, michepuko ninayo mingi lakini hii naona kama kali zaidi, wazoefu hasa wanawake hii imekaaje?
Wewe unatafuta kuvuliwa marinda na si kingine!
 
Kuna miwanawake mijinga huku duniani ptuuuuuu!!!!!
Yaan mtu una mwanaume wako tena mume lakini bado unakipeleka kutiwa tiwa hovyo na wapumbavu walioacha wake zao nyumbani halafu baada unampelekea shombo mume wako.
Upuuz kabisa mtoa mada na hawara wako acheni umalaya
Nakusalimia....
 
Hyo mwanamke akapimwe akili..ila wanaume nyinyi mnaweza kufanya watu wapararaizi kwa suprise zenu
Alete vyeti vyake vya kuzaliwa , vyeti vya kuzaliwa vya mama na baba yake na vya babu na bibi yake.

Huenda huyo dada si raia
 
Wanaume wengine bwana,
Una michepuko mingi, wote ulikuja kuomba ushauri huku?
Nawashangaa sana wanaume wanaokuja kuomba ushauri wa kula papuchi.
 
Kuna motto wa timu yetu hapa kwetu hutia moyo Sana ”daima mbele nyuma Kwetu mwiko", Kama unakumbuka habari za mke wa RuTu kwenye bible endelea kurudi nyuma
 
Kuna miwanawake mijinga huku duniani ptuuuuuu!!!!!
Yaan mtu una mwanaume wako tena mume lakini bado unakipeleka kutiwa tiwa hovyo na wapumbavu walioacha wake zao nyumbani halafu baada unampelekea shombo mume wako.
Upuuz kabisa mtoa mada na hawara wako acheni umalaya
Malaya mnawachukiaga saaana Malaya wenzio sijui kwanini?
 
Tukushauri nini sasa mkuu, maisha yako maamuzi yako
 
Huyu mwanamke alikuwa girlfriend wangu miaka kama kumi na sita iliyopita, tulikuwa ndani ya uhusiano huo kwa muda wa miaka isiyopungua minne ofcourse kila mtu, familia, marafiki hata yeye alijua nitamuoa lakini nikabadili gia angani nikaoa mwanamke mwingine(stori ndefu) hakuna aliyeamini lakini ndiyo ilivyokuwa.

Nikawa nimemuharibia maisha yake na kumsababishia stress, frustrations etc, (hii ilikuwa inaonekana wazi wazi) kila nikutana na marafiki zake wananipa stori za huzuni kuhusu yeye nk nk, wanaomba nikamuokoe mwenzao (alikuwa shuleni na ikawa inaelekea kumshinda kabisa sababu ya ulevi wa kupindukia, bangi nk) haikuwezekana, maisha yakaendelea na baadaye akakaa sawa, akapata kazi nzuri na baadae akaolewa na kuwa na familia yake.

Tukaja kukutana kwenye mitandao, nikajistukia lakini nikashangaa akasema amenisamehe lakini hatonisahau, tukaanza tena mawasiliano mpaka ofisini kwake nikawa nakwenda kwasababu nilikuwa mteja pale mawasiliano yakaendelea, urafiki ukarudi na tumeshatoka lunch mara mbili tatu.

Majuzi, tukiwa tunachat kaniambia ana ombi maalum kwangu anaomba anipigie nikamwambia sawa piga akasema anaomba niwe mchepuko wake rasmi na hataki kuhangaika kabisa anasema amejitahidi miaka yote hawezi kunisahau anaomba hilo yupo tayari hata kulipia safari ya nje (sasa hivi anayo hiyo jeuri) ila niwe mwaminifu kwake na nisiwe na mchepuko mwingine wowote sababu wote tuna familia nk na akaniambia nisimuumize tena, ikabidi nikubali nikamwambia tutapanga very soon.

Wadau, michepuko ninayo mingi lakini hii naona kama kali zaidi, wazoefu hasa wanawake hii imekaaje?
she plan something to you...[emoji41] [emoji41] [emoji41] kaa tyari
 
Kumbuka siku iz ukifumaniwa haupigwi wala kukatwa mapanga lakini kuna kamchezo sijui nani alikagundua basi ujiandae kufanyiwa hako kamchezo na usije kulialia hapa.
Mke wa mtu sumu
 
Kuna miwanawake mijinga huku duniani ptuuuuuu!!!!!
Yaan mtu una mwanaume wako tena mume lakini bado unakipeleka kutiwa tiwa hovyo na wapumbavu walioacha wake zao nyumbani halafu baada unampelekea shombo mume wako.
Upuuz kabisa mtoa mada na hawara wako acheni umalaya
olewa uone bibiee
 
Back
Top Bottom