Anaomba niwe mchepuko wake, hii imekaaje wanandoa?

Usijaribu kwenda nae kokote wala kujihusisha nae chochote,sisi wanawake tunajua mno "to get even".Ukitutendea wema hakika tutakupenda na kukulipa wema saba mara sabini ila ukikutendea mabaya,amini usiamini utavuna ulichokipanda!
Ili hali kakusamehe,kuwa na amani na endelea na familia yako!
Good luck mkuu
 
Yaani wewe unayoyatafuta hayapo kabisa katika ulimwengu wa sayari hii...ni ya ulimwengu sayari nyingine. Jiepushe na hilo wazo, ulishaachana naye miaka kibao, kama unapenda michepuko, chepuka huko kwingine ni salama zaidi kuliko hapo!!
 
Kuna miwanawake mijinga huku duniani ptuuuuuu!!!!!
Yaan mtu una mwanaume wako tena mume lakini bado unakipeleka kutiwa tiwa hovyo na wapumbavu walioacha wake zao nyumbani halafu baada unampelekea shombo mume wako.
Upuuz kabisa mtoa mada na hawara wako acheni umalaya
Sio wajinga, inawezekana show aliyokua anapigwa na mshkaji sasa hivi kwenye ndoa yake haipati.Unawezakuta alishazoeshwa kunyonywa K kitu ambacho kwasasa kwenye ndoa yake hakipati.
 
Kuna miwanawake mijinga huku duniani ptuuuuuu!!!!!
Yaan mtu una mwanaume wako tena mume lakini bado unakipeleka kutiwa tiwa hovyo na wapumbavu walioacha wake zao nyumbani halafu baada unampelekea shombo mume wako.
Upuuz kabisa mtoa mada na hawara wako acheni umalaya
Naunga mkono...! [emoji137][emoji137][emoji137]
 
Kimbia wakat bado una nguvu, usije ishiwa ukataman kukimbia wakat hata nguvu za kutambaa huna. Soma alama za nyakati
 
Huyu mwanamke alikuwa girlfriend wangu miaka kama kumi na sita iliyopita, tulikuwa ndani ya uhusiano huo kwa muda wa miaka isiyopungua minne ofcourse kila mtu, familia, marafiki hata yeye alijua nitamuoa lakini nikabadili gia angani nikaoa mwanamke mwingine(stori ndefu) hakuna aliyeamini lakini ndiyo ilivyokuwa.

Nikawa nimemuharibia maisha yake na kumsababishia stress, frustrations etc, (hii ilikuwa inaonekana wazi wazi) kila nikutana na marafiki zake wananipa stori za huzuni kuhusu yeye nk nk, wanaomba nikamuokoe mwenzao (alikuwa shuleni na ikawa inaelekea kumshinda kabisa sababu ya ulevi wa kupindukia, bangi nk) haikuwezekana, maisha yakaendelea na baadaye akakaa sawa, akapata kazi nzuri na baadae akaolewa na kuwa na familia yake.

Tukaja kukutana kwenye mitandao, nikajistukia lakini nikashangaa akasema amenisamehe lakini hatonisahau, tukaanza tena mawasiliano mpaka ofisini kwake nikawa nakwenda kwasababu nilikuwa mteja pale mawasiliano yakaendelea, urafiki ukarudi na tumeshatoka lunch mara mbili tatu.

Majuzi, tukiwa tunachat kaniambia ana ombi maalum kwangu anaomba anipigie nikamwambia sawa piga akasema anaomba niwe mchepuko wake rasmi na hataki kuhangaika kabisa anasema amejitahidi miaka yote hawezi kunisahau anaomba hilo yupo tayari hata kulipia safari ya nje (sasa hivi anayo hiyo jeuri) ila niwe mwaminifu kwake na nisiwe na mchepuko mwingine wowote sababu wote tuna familia nk na akaniambia nisimuumize tena, ikabidi nikubali nikamwambia tutapanga very soon.

Wadau, michepuko ninayo mingi lakini hii naona kama kali zaidi, wazoefu hasa wanawake hii imekaaje?
Usikute kakuandalia mtego huko ili alipize kisasi
 
Kali zaidi Au sio !!?? Unazingua .
Sema Endelea nae Ila Umakini Unahitajika sana.
Umesema kaolewa eti.
Kuwa Makini Sana.
 
HAPO NDUGU YANGU ANAKUWEKA KWENYE MTEGO MKUBWA, ISIJE IKAWA AMEANDAA WATU WALE TIGO YAKO HUKU WANAREKODI AFU APELEKEWE MKEO NA YOU TUBE.

KISASI HIKO OGOPA
 
Endelea kula tu man ata uku kuna jamaa alimwachaga mchumba ivoivo full kumcause mapain lakini cha ajabu kamfanya mchepuko kama kasecond wife flani ivi maisha yanasonga.

Mi mwenyewe kuna manzi ilikua nimwoe akajifanya yuko bize, saizi nae anaomba sabu
 
Kuna miwanawake mijinga huku duniani ptuuuuuu!!!!!
Yaan mtu una mwanaume wako tena mume lakini bado unakipeleka kutiwa tiwa hovyo na wapumbavu walioacha wake zao nyumbani halafu baada unampelekea shombo mume wako.
Upuuz kabisa mtoa mada na hawara wako acheni umalaya
Upuuzi kabisa tena wa phd uchwara
 
Back
Top Bottom