Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,105
- 28,059
Arudi hapa kama tayari kama kaupataSubiri akupe ukimwi ndo akili itakukaa sawa...[emoji57]
Arudi hapa kama tayari kama kaupataSubiri akupe ukimwi ndo akili itakukaa sawa...[emoji57]
I feel sorry for that woman. Mtazamo wangu; pengine atakua na sura mbaya au hana mvuto hivyo hana options nyingi. Huko mikoani mnaishije? Haya mambo huwezi kuyasikia mjini.
Ameniomba sana sana nimsaidie kwenye hili suala.....anasema anajutia ndoa yakeKuna miwanawake mijinga huku duniani ptuuuuuu!!!!!
Yaan mtu una mwanaume wako tena mume lakini bado unakipeleka kutiwa tiwa hovyo na wapumbavu walioacha wake zao nyumbani halafu baada unampelekea shombo mume wako.
Upuuz kabisa mtoa mada na hawara wako acheni umalaya
Acha kumuita mkuu mtu aliyetesa mwanamke mwenzenuUsijaribu kwenda nae kokote wala kujihusisha nae chochote,sisi wanawake tunajua mno "to get even".Ukitutendea wema hakika tutakupenda na kukulipa wema saba mara sabini ila ukikutendea mabaya,amini usiamini utavuna ulichokipanda!
Ili hali kakusamehe,kuwa na amani na endelea na familia yako!
Good luck mkuu
Mmmmmh....! [emoji33][emoji33]Sie wanawake tukiamua kuwa wapole mbona utapenda lkn tukiamua kufanya ukatili aisehhh ni wakatili so kuwa makini anachowaza juu yako hujui moyo wa mtu ni kichaka baba.....
Ila sikumaanisha namtetea wala hata,nlishindwa tu kuandika Goodluck Ibilisi shetani,kwakuwa 'we address each other' hapa jukwaani kama 'mkuu'.Acha kumuita mkuu mtu aliyetesa mwanamke mwenzenu
Ha ha haaaa thanx kwa kunielewa. Hata kama huyo mwanamke hatafanya revenge anataka wakawasaliti wenza wao basi anafanya hivyo kwasababu hana jinsi maana huyo jamaa ashamuharibu kisaikolojia huyo dada hivyo hana namna ya kufanya. Lakini itakuwa jambo la heri sana kama atajielewa na kumfanyia revengeIla sikumaanisha namtetea wala hata,nlishindwa tu kuandika Goodluck Ibilisi shetani,kwakuwa 'we address each other' hapa jukwaani kama 'mkuu'.
Nisamehe nimekosea MKUU
Well spoken!!Offers are sweet but the consequences are considerably lethal. Huwa siwezi imagine mwanaume unamkulaje mke wa mwenzio na ukatoka/ukatarajia kutoka salama ila dunia ni dunia.
Na huyo kama ulimharibia maisha na ako na chance ya kulipa kisasi, I don't see anyhow this will end good on your part.
Nnachoona hapo ni Suala la wewe kujichimbia kaburi, begining of your own destruction