Huyu mwanamke alikuwa girlfriend wangu miaka kama kumi na sita iliyopita, tulikuwa ndani ya uhusiano huo kwa muda wa miaka isiyopungua minne ofcourse kila mtu, familia, marafiki hata yeye alijua nitamuoa lakini nikabadili gia angani nikaoa mwanamke mwingine(stori ndefu) hakuna aliyeamini lakini ndiyo ilivyokuwa.
Nikawa nimemuharibia maisha yake na kumsababishia stress, frustrations etc, (hii ilikuwa inaonekana wazi wazi) kila nikutana na marafiki zake wananipa stori za huzuni kuhusu yeye nk nk, wanaomba nikamuokoe mwenzao (alikuwa shuleni na ikawa inaelekea kumshinda kabisa sababu ya ulevi wa kupindukia, bangi nk) haikuwezekana, maisha yakaendelea na baadaye akakaa sawa, akapata kazi nzuri na baadae akaolewa na kuwa na familia yake.
Tukaja kukutana kwenye mitandao, nikajistukia lakini nikashangaa akasema amenisamehe lakini hatonisahau, tukaanza tena mawasiliano mpaka ofisini kwake nikawa nakwenda kwasababu nilikuwa mteja pale mawasiliano yakaendelea, urafiki ukarudi na tumeshatoka lunch mara mbili tatu.
Majuzi, tukiwa tunachat kaniambia ana ombi maalum kwangu anaomba anipigie nikamwambia sawa piga akasema anaomba niwe mchepuko wake rasmi na hataki kuhangaika kabisa anasema amejitahidi miaka yote hawezi kunisahau anaomba hilo yupo tayari hata kulipia safari ya nje (sasa hivi anayo hiyo jeuri) ila niwe mwaminifu kwake na nisiwe na mchepuko mwingine wowote sababu wote tuna familia nk na akaniambia nisimuumize tena, ikabidi nikubali nikamwambia tutapanga very soon.
Wadau, michepuko ninayo mingi lakini hii naona kama kali zaidi, wazoefu hasa wanawake hii imekaaje?