Anaogopa kunitambulisha kwa marafiki zake kwa kuhofia wataniiba

Mpaka unamuoa hujui marafiki zake? Inafikirisha hakika.

Huwa kitu cha kwanza napokya na mahusiano... marafiki zangu ndo wa kwanza kutambulishwa. Hii kimsingi ndo kamati kuu ya PAC.
Na kama una tabia mbovu za kutongoza ovyo usiexpect utatongoza ovyo marafiki zangu. Tunakaa na kukujadili na kukudharau halaf kibuti kinakuja. Loyal friends.

Seemingly mkeo either crew lao ndo tabia yao kuibiana waume zao, ama kuna wale rafiki amejikuta kwenye cycle nao wana tabia hizo ila ndo keshawapenda hawezi kuwaacha maana si wote tuko perfect amebaki nao hivyohivyo kwahiyo akaona style ya kutokukutambulisha ndo salama kwake.

Ama wewe ni kicheche mkuu. Sisi wanawake tunajua kumsoma mtu hataka vibaya mno. Na hata ukatuongopea tunajua ila tutaitikia ndiyo ili kuepusha mlolongo wa vita. Tafakari na kuwa makini. Kama ni tabia zako badilika
 
Hello JF.

Last weekend nilikuwa na wife tunapiga story mbili tatu,nikamtania mbona siwajui marafiki zako?akanijibu "akuu unataka nikutambulishe kwao ili wakuibe"?

Ofcoz wife ana marafiki visu sana, naonaga anawapost kwenye status zake kuwawish birthday, ebana ni wakali hatari.ila my point is, mbona anahofia wataniiba?kanionaje kwa mfano?

Karibuni kwa mawazo yenu.
Ina maana kwamba mkeo anakuona huna msimamo na hujitambui.
 
Hello JF.

Last weekend nilikuwa na wife tunapiga story mbili tatu,nikamtania mbona siwajui marafiki zako?akanijibu "akuu unataka nikutambulishe kwao ili wakuibe"?

Ofcoz wife ana marafiki visu sana, naonaga anawapost kwenye status zake kuwawish birthday, ebana ni wakali hatari.ila my point is, mbona anahofia wataniiba?kanionaje kwa mfano?

Karibuni kwa mawazo yenu.
Lipia tangazo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom