ni kweli usemacho..isitoshe wife wangu hapndi kabisa mambo ya kujibizana na watu kwa ishu kama hizi..(nilishawahi kumwambia aongee nae akakataa )...nashukuru Mungu mke wangu ni muelewa na isitoshe huyo mdada najua kashachoka saiz maana ameona kila anachofanya mi ndo kwanza niko bize na wife, so nahisi kaamua kubwaga manyanga na huyo mshikaji wake naye kimya..the best way i learnt ya kuepuka matatizo haya ni just kum ignore the person you see is causing problem..atajiona mjinga ataacha tu...thats what happened!!