Wanaume tumeumbwa mateso kuhangaikaKaa kimya tuu Daby
Maana nilikuwa najiuliza maswali mengi sana kuhusu hawa baadhi ya wanaume wanaopenda kulalamika kuhusu kuombwa pesa kwamba huwa wanaombwa kiasi gani mpaka wajitutumue kuongea shit kiasi kile
Inafikia hatua eti mwanaume anasema yeye kazi yake mgegedo tuu huduma ni jukumu la wazazi wa mwanamke seriously?
Eti huyo naye yupo kwenye kundi la wanaume
Tena bila ata aibu anajisfu kabisaaKaa kimya tuu Daby
Maana nilikuwa najiuliza maswali mengi sana kuhusu hawa baadhi ya wanaume wanaopenda kulalamika kuhusu kuombwa pesa kwamba huwa wanaombwa kiasi gani mpaka wajitutumue kuongea shit kiasi kile
Inafikia hatua eti mwanaume anasema yeye kazi yake mgegedo tuu huduma ni jukumu la wazazi wa mwanamke seriously?
Eti huyo naye yupo kwenye kundi la wanaume
Heheheheheeeeee haya bhana
Wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika.
Ukiupata huo wimbo niwekee hapa puliiiz
Yaan wanabalaa ujue, mie nikisoma mawazo yao huwa nahisi wanaume wanapotea kwenye uwanaume wao wanabaki wanaume wachache sana
Kama hiyo anayopewa ni kidogo si angekuwa anakataa? Hiyo hiyo pesa ambayo unajifanya unaona ndogo ndiyo inayomfanya asiondoke. Hivi unadhani kupata danga la kuhonga mamilioni demu anaamua tu halafu analipata ee. Eti angefuata pesa angekuwa ameshaondoka, uliza wangapi wanataka kuhongwa mamilioni halafu "wanaamua" tu then wanaanza kuhongwa. Yale ya kwenye filamu ni maigizo wewe, acha kupotosha wenzio. Na kama unga umeshaanza kukupa ndoto za hivyo nenda rehab.ACHA KUCHEKESHA ETI OOOHHH ANANIPENDEA PESA
Unaishi nyumba ya kupanga na hata kama umejenga kwa mkopo kudunduliza matufali, una kagari kamkopo au hata ni mtu wa daladala. Akija kwako ukijitahidi sana umempa hela ya Bajaji sana sana utaongezana naye kutembea kujifanya eti mapenzi kumbe ubahili.
Ukimpeleka gest umejitahidi sana elfu hamsini. Halafu kakuomba hela ya saluni unaanza kujishaua ooohh huyu dada anapenda hela oooo hana mapenzi ya kweli anapenda hela tu. Uanchekesha ndugu yangu kwa hela zipi ulizonazo!
Yaani mtu unajiunga Bando la Chuo wakati ni MHENGA halafu uansema unapendewa pesa. Unasema oohhh anataka kuhongwa ndugu yangu ndugu yangu, tofautisha kuhonga na kuhudumia na acha kujipandisha namna hiyo.
Kama hujawahi mnunulia mwanamke Gari unatoa hela ya Bajaji jua wewe huhongi unahudumia, unatoa tu huduma ya usafiri basi. Kama hujawahi mnunulia Brazilian ya milioni moja na laki mbili ndugu yangu wewe ile elfu thelathini ya saluni huku honga ulihudumia.
Kama akikuomba laki mbili ya msibani unatoa elfu ishirini na unataka uende kabisa huko msibani ndugu yangu wewe huhongi unahudumia. Hivyo hembu tulia pambana na hali yako acha kumharibia jina binti wa watu kwa kusema ohhh eti anapenda pesa.
Nikuambie kitu huyo Dada angekua anapenda pesa angekua ashakuacha muda mrefu. Mtu kila siku hata hajawaza kukuomba hela ushaanza kulia shida ili usiombwe. Anakuvumilia tu na wewe huhongi bali unahudumia kutokana na huduma unazopewa!
[HASHTAG]#KaaKimya[/HASHTAG]
COPY AND PASTE
Nitakufaje Sasa Na wewe upo??
Ha ha ha ha!!
Mimi nakomaaa hivyo hivyo!!
Mwambie aongeze round ya pili nakuja kucash hapo.....Aiseeee umejua kunifurahisha.....kunywa kinywaji chochote nakuja kulipia hapo
Haina shida nitamwambiaMwambie aongeze round ya pili nakuja kucash hapo.....
Mimi nakomaaa hivyo hivyo!!