Justine_Dannie
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 1,962
- 1,622
Habari ndugu zangu.
Mimi kuna msichana tuko naye karibu mpaka inafika hatua ya mi kulala nae kitanda kimoja bila ya kufanya mapenzi anabaki kama just friand.
Sasa naomba ushauri huyu demu ananipenda au nimuache bila kumuambia au nibaki naye kama rafiki naomba ushauri wenu ndugu zangu.
[/QUOTE just friand.
Hicho kiharagwe chako kina urefu wa sentimita ngapi...??
Inaonekana hujui mambo hebu njoo nikudunge na kiharagwe changu upate funzo.
Hivi wanaogegedana huwa wanakuwa maadui?Rafiki wa kweli kabisa wa kike ni yule unayeweza lala naye kitanda kimoja na msifanye mapenzi. Lakini nina maswali mawili. 1. mkilala hapo kitandani kuna wakati huwa unapata hisia za mapenzi unasimamaisha? 2. Kwa kawaida wewe husimamisha, au ndio mtoto sio riziki?
Unataka umdunge nacho pande zipo?
Natumia futi sio sentimita kupima urefu.
Haya kina urefu wa futi ngapi...??
habari ndugu zangu.
Mimi kuna msichana tuko naye karibu mpaka inafika hatua ya mi kulala nae kitanda kimoja bila ya kufanya mapenzi anabaki kama just friand.
Sasa naomba ushauri huyu demu ananipenda au nimuache bila kumuambia au nibaki naye kama rafiki naomba ushauri wenu ndugu zangu.
huo ni uongo ulale kitanda kimoja na mwanamke bila kumgegeda utakuwa una matatizo.
Hahahahahaaaa....mkuu ule nakumbuka kama unaitwa brain optic fibre kama sikosei..hahahaaa