Mkude mjita
Member
- Jan 24, 2015
- 7
- 0
Habari ndugu zangu.
Mimi kuna msichana tuko naye karibu mpaka inafika hatua ya mi kulala nae kitanda kimoja bila ya kufanya mapenzi anabaki kama just friand.
Sasa naomba ushauri huyu demu ananipenda au nimuache bila kumuambia au nibaki naye kama rafiki naomba ushauri wenu ndugu zangu.