jojoe35
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 262
- 379
Nilitokea kumpenda binti flani chuoni, kila tulipoonana alionyesha dalili za kuwa interested na mimi.Sikusita kumweleza hisia zangu, bahati nzuri alikua keshanielewa hata kabla yakumwambia akasema "usijal nmeshakuelewa hitaji lako.
Naomba unipe mda coz nimetoka kubreak-up na mtu wangu mwezi ulopita" nikasema isiwe shida takusubiria mama.Muda wote huo wakumsubiria alipenda kuwa karibu na mimi muda wote nikiwa mbali anakuwa mpweke sana, so nilijitahidi kuwa karibu nae.
Kuna siku nilimkumbusha ''lini utakuwa wangu?" Nilimuuliza, akajibu akajibu naomba hili swala tuliweke katika maombi, kila mmoja aombe Mungu kumdhihirishia kama nikweli tunafanana, nikasema poa.
Sikumoja Jumamosi mchana nimepumzka chumbani, nikashtukia anagonga hodi, nikamkarbisha ndani, tulipiga story sana, siku hiyo hadi, nikamuomba kumkiss ata once.
Mtoto alikataa kata nikapotezea, kushitukia kanirukia nakuanza kunila denda sikucta nikampa sapot.Badae tukaachana akarud hostel kwake, ni kawaida yake kunishtukiza maana ata zaman nilipokuwa nataka kumchum shavuni anakataa but nikipotezea nashangaa ananirukia nakunichum, hasa nashindwa kumuelewa.
Tangu siku ile Jumamosi tulipo dendeka alibadirika ghafla, alinipigia simu nakuniambia alikosea kufanya hivo na hataki ukaribu wa hivo tena, tuwe marafiki wa kawaida.
Anapenda kusalimiana sana na wanaume kila anapokua, yaani nikitembea naye hadi nilikuwa nakereka.Sasa wakuu nimeshindwa kumuelewa, ni kwamba hanitaki au bado ananipenda?
Na kwanini ana act strange hivo?
Msaada wakuu