Ananipenda au ananijaribu?

Ananipenda au ananijaribu?

Tatizo la dunia kwa sasa ni kila mtu kutaka kupendwa!
 
ha haha eti miss naomba nikukiss aiseee .. hapo hupati kisi wala busu.... achana na huyo mnapotezeana mipango tu
 
ww hutak kupendwa enhee

Lee Cho in, nilishagundua kuwa hilo swala la ''kupendwa'' halipo kwa kuwa kila mtu yupo na mtu kwa sababu maalum. Iwe hela,mwonekano, kupata watoto,kusaidiana maisha au jambo lingine lolote.
Ngoja siku upoteze sababu inayokufanya kuhisi unampenda/kupendwa na mtu ndipo utajua kuwa hakuna kitu kinachoitwa ''kupendwa'' katika ulimwengu huu.

Waulize watu swali rahisi tu ''kwanini upo na mwanamke/mwanaume uliyenaye?''. Majibu yatakuonyesha kuwa hii ni tasnia ya filamu tu.
 
Back
Top Bottom